NEMANJA MATIC ASEMA CHELSEA IMEZINDUKA BAADA YA KUFUNGWA NA ARSENAL MABAO 3-0 MWEZI ULIOPITA

KIPIGO kikali cha 3-0 kutoka kwa Arsenal mwezi uliopita ndicho kilichoimarisha Chelsea kujipanga hadi kuichakaza Man Utd 4-0, kwa mujibu wa kiungo Nemanja Matic.

No comments