NEW VIDEO: TAZAMA BONGE LA VIDEO YA WIMBO “STAREHE” KUTOKA KWA FAMILY TEAM


MOJA ya vitu vinavyoleta changamoto bab kubwa katika maeguzi ya muziki wa dansi ni huu wimbo “Starehe” kutoka kwa kundi la Family Team.

Wimbo huo uliotoka katika njia ya audio miezi michache iliyopita, ulipokewa vizuri sana lakini ni wazi kuwa video ya ‘goma’ hilo ndiyo itakayokuwa habari ya mjini.

Video ya wimbo huo ambayo imeachiwa wikiendi hii, ni ya kiwango cha juu kuanzia ubora wa picha, mandhari, mavazi na kila vikorombwezo vilivyohusishwa.

Itupie macho video hiyo kutoka kwa Family Team chini ya Chekedaa na Joto Dar es Salaam.

No comments