KLABU ya Newcastle United inamfuatilia mlinzi kinda wa Partizan Bergrade, Nikola Mirenkovic, huku ikipanga kumsajili Januari, mwakani.


Mchezaji huyo mwenye miaka 19, amekuwa akifuatiliwa na klabu nyingi barani Ulaya baada ya kuonyesha uwezo mkubwa tangu alipopewa nafasi kwenye kikosi cha kwanza.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac