NEYMA KUSAINI DONGE NONO LINALOMZIDI MESSI BARCELONA

NEYMAR ambaye anawindwa na PSG anatarajia kusaini mkataba mpya Barcelona utakaomfanya alipwe zaidi ya Lionel Messi lakini Messi naye anatarajia kusaini mkataba mpya utakaomrudisha juu tena mwaka huu

No comments