NEYMAR amesaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuitumikia Barcelona na sasa thamani ya kuununua mkataba wake ni pauni milioni 255.  
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alikutana na rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu na kusaini mkataba huo utakaofikia kikomo mwaka 2021.
Kipengele cha kuununua mkataba wake kimeongezeka kutoka pauni 171 hadi pauni milioni 200 ndani ya mwaka wa kwanza, lakini kitapanda hadi pauni milioni 225 katika miaka mitatu ya mwisho.
Neymar shakes hands with Barcelona president Josep Maria Bartomeu after signing a new deal
Neymar akishikana mkono na rais wa Barcelona  Josep Maria Bartomeu baada ya kusaini mkataba mpya
The Brazilian forward celebrates after scoring against Manchester City on Wednesday night
Neymar akishangilia bao lake dhidi ya Manchester City
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac