NJOZI MBAYA ZAMTANDA KIUNGO WA ZAMANI WA BOURNEMOUTH

KIUNGO wa zamani wa timu ya Bournemouth, Ian Bishop ameanza kuingiwa na njozi mbaya baada ya timu yake kufanya mauaji ya kihistoria katika Ligi Kuu.


Juzi Bourneuth iliirarua kwa mabao 6-1 Hull City ikiwa ni ushindi wa kwanza mkubwa kwa timu hiyo katika historia yake tangu itinge Ligi Kuu, jambo linalomfanya staa huyo wa zamani aitabirie kumaliza ndani ya 10 Bora.

No comments