NURI SAHIN AFICHUA MOURINHO YU TAYARI KUFANYA LOLOTE ILI KUPATA POINTI

KOCHA WA Manchester United, Jose Mourinho yuko tayari kufanya lolote ili kupata pointi, kwa mujibu wa kiungo wa Borussia Dortmund, Nuri Sahin aliyefanya kazi naye Real Madrid mwaka 2011.

No comments