OFA KIBAO KUTOKA CHINA, MAREKANI ZAMKIMBILIA BASTIAN SCHWEINSTEIGER

MWENYEKITI wa chama cha soka cha Marekani, Don Barber ameweka wazi kuwa klabu zimeshatuma ofa kwa kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger.


Kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameondolewa kwenye kikosi cha Manchester United na kocha Jose Mourinho hivyo kumekuwa na ofa nyingi kutoka China na Marekani kwa klabu zinazomwitaji.

No comments