OWEN ASHANGAA HENRIKH MKITARYAN KUNYIMWA NAFASI KIKOSINI MAN UNITED

KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Owen Hargreaves amesema anashangaa kwanini kiungo fundi Henrikh Mkitaryan hapewi nafasi katika kikosi hicho cha Jose Mourinho msimu huu.No comments