PAMBANO LA YANGA, SIMBA LATIKISA KURASA ZA MICHEZO, LIPUMBA BADO ASUMBUA KWENYE SIASA MAGAZETI YA LEO

HABARI kubwa iliyotawala magazeti mengi leo katika michezo ni kiuhusiana na mtanange wa watani wa jadi, Yanga na Simba, Huku katika siasa, vuguvugu la Prof. Lipumba likionekana bado kufukuta kwenye kurasa nyingi za mbele.

No comments