PETR CECH ATIMIZA MIAKA 10 YA KUUMIA KICHWANI IJUMAA YA "NYERERE DAY"

WAKATI Tanzania ikiadhimisha miaka 17 ya Nyerere Day juzi Oktoba 14, kipa wa Arsenal, Petr Cech siku hiyohiyo ametimiza miaka 10 tangu alipoumizwa kichwani dhidi ya Reading na kulazimika kudaka akiwa amevaa ‘kofia’ malum tangu mwaka huo.   

No comments