PHILIPPE "KUKWAMISHWA" LIVERPOOL KWA MKATABA MPYA

IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa Liverpool wanataka kukomesha uvumi wa nyota wao, Philippe Coutinho kuondoka klabuni hapo na kuthibitisha hilo, wapo mbioni kumpa mkataba mpya.


Mbrazil huyo amekuwa na msaada mkubwa kwenye kikosi cha sasa cha Reds ambapo msimu huu ameshapachika mabao manne katika mechi nane alizocheza.

No comments