PICHA NYINGINE ZA PAMBANBO LA ISHA MASHAUZI NA LEYLA RASHID DARLIVE

MATUKIO ya kufurahisha na yaliyosisimua yalikuwa mengi kwenye pambano la jna kati ya Isha Mashauzi na Leyla Rashid, kama ambavyo picha 25 zinavyojipambanua hapo chini.
 Mwimbaji Abdulmalick Shaaban wa Mashauzi Classic akipagawisha
 Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto akifuatilia pambano kwa karibu zaidi
 Mdau wa muziki, Juma Mbizo (kushoto), akiwa na mchekeshaji Rashid Mzande "Kingwendu"
 Kingwendu alipopata nafasi ya kukaribishwa jukwaani kusalimia, kama ilivyo kawaida yake hakufanya kosa
 Hapa MC Mwasiti Robert akimkaribisha Khadija Yussuf kutumbuiza
 Sasa Khadija Yussuf akifanya yake
 Prince Amigo naye hapa akikinukisha mbele ya mashabiki wao
 Kalikiti Moto akitoa raha 
 Isha Mashauzi akiwa kazini
 Hapa Isha "mizuka" imempanda kichwani
 Mdau Mamu Original Mariam akicheza sambamba na Isha
 Dk. Kumbuka naye alikuwepo na akachamba vilevile
 Leyla Rashid akisababisha mbele ya mashabiki
 Chid Boy akirekebisha mambo
 Hapa Father Mauji anachana nyuzi
 Babu Ally akipapasa kinanda kwa hisia
 Hapa Mussa Mipango (kushoto) na Father Mauji wakionyeshana ujuzi wa kucharaza gitaa na kucheza 
 Hapa utamu wa magitaa umemvuta MC Mwasiti aliyeamua kuwamwagia noti
 Isha akiendelea kutoa dozi
 Hapa akitoa burudani sambamba na wacheza viduku wake
 Zamu ya Leyla sasa
Chidi Boy akipagawisha mashabiki

No comments