STAA Paul Pogba amesema mkali Zlatan Ibraimovic ni kama kaka yake kwani amesaidia kuurudi kwenye ubora wake.

“Ibraimovic  ni kama kaka mkubwa,” alisema Pogba alipokiuwa akizungumza na kituo kimoja cha televisheni cha Ufaransa.

Lakini pia Pogba amemwagia sifa kocha Jose Mourinho akisema anafurahia kuwa chini ya Mreno huyo.


“Jose ni bonge la kocha ni jambo zuri kwangu. Nina mengi ya kujifunza kutoka kwake,” aliongeza nyota huyo mwenye umri wa miaka 23.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac