MKONGWE wa muziki wa Kizazi Kipya Prof Jay amesema kuwa yeye ni mjanja na mwerevu na anajua kusoma ishara za nyakati ndio maana aliamua kuimba Singeli ili kwenda na wakati kwa madai kwamba na muziki unaokubalika kwa sasa.

Alisema hayo alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu uamuzi wake wakuimba Singeli katika wimbo wake mpya wa Kizazi Kipya wa "Kazi Kazi" badala ya Hiphop kama ambavyo amezoeleka.


Alisema, kisanii kuna watu amewakwaza kwa sababu bahati mbaya Hiphop haiishi kwenye muziki tu na kwamba Hiphop ni utamaduni kuanzia mavazi maongezi na kila kitu.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac