REAL MADRID MBIONI KUMNASA GELSON MARTINS WA SPORTING LISBON

WABABE wa Ligi Kuu Hispania, Real Madrid wamekita kambi nchini Ureno wakitaka kumsajili nyota Gelson Martins anayekipiga Sporting Lisbon.


Madrid wanataka kuinasa saini ya kinda huyo mwenye umri wa miaka 21 na hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la Record linalochapishwa nchini Ureno.

No comments