REAL MADRID WAKUBALI KUMPIGA BEI JAMES RODRIGUEZ

REAL Madrid ilikubali mpango wa kumuuza staa wake, James Rodriguez kwenda Inter Milan wakati wa usajili wa majira ya kiangazi.


James amekuwa akihusishwa kutimkia Madrid, hasa baada ya kushindwa kupata namba kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Zinedine Zidane.

No comments