RED BULLS YA NEW YORK YAMKANA BASTIAN SCHWEINCTEIGER

KLABU ya New York, Red Bulls imekanusha taarifa kuwa inapanga kumsajili kiungo wa Manchester United, Bastian Schweincteiger.


Schweincteiger hajacheza hata mchezo mmoja msimu uu na hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa alikuwa akiwaniwa na klabu kadhaa za Ligi Kuu nchini Marekani.

No comments