ROMA KUNYOFOA WALINZI WAWILI MANCHESTER CITY... yumo Bacary Sagna

KLABU ya Roma inaangalia uwezekano wa kuimarisha safu yao ya ulinzi kwa kuwasajili nyota wa Manchester City, Bacary sagna na Gael Clichy.

Kwa sasa mastaa hao wamemaliza mkataba na matajiri hao wa jijini Manchester.

No comments