ROMA YASAKA SAINI YA MEMPHIS DEPAY WA MANCHESTER UNITED

Memphis Depay (left) admits being frustrated at his lack of playing time at Manchester UnitedNyota huyo wa Halland amecheza kwa dakika 12 tu kwenye Premier League msimu huu na amekuwa lawamani kwa kushindwa kuonyesha ubora wake tangu alipotua England msimu uliopita.
Katika msimu wake wa kwanza, Depay mwenye umri wa miaka 22 akaifungia Manchester United mabao saba na kuachwa mbali na rekodi yake ya magoli 28 aliyoifungia PSV Eindhoven kabla hajatua Old Trafford. 

No comments