RONALDO AKUBALI KUDONDOKA SAINI NYINGINE REAL MADRID

IMERIPOTIWA kuwa mkali Cristiano Ronaldo amekubali kuongeza mkataba wa miaka mkuendelea kukipiga katika klabu yake ya Real Madrid.


Taarifa zimenyetisha kuwa mpachikaji wa mabao huyo atasaini mkataba mpya wa  miaka mitano hivi karibuni.

No comments