RYAN GIGGS ATOSWA KUIONGOZA SWANSEA CITY

RYAN Giggs ametoswa ajira ya ukocha mkuu wa Swansea City baada ya kuchemka vibaya katika usaili na nafasi hiyo amepewa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Marekani, Bob Bradley.

No comments