SADIO MANE: JURGEN KLOPP ALITAKA KUNISAJILI TANGU ALIPOKUWA BORUSSIA DORTMUND

WINGA wa Liverpool, Sadio Mane amebainisha kuwa kocha Jurgen Klopp alitaka kumsajili tangu wakati akifundisha Borussia Dortmund huku yeye akichezea klabu ya Red Bull Salzburg kabla ya wawili hao kujumuika pamoja Anfield.

No comments