SANTI CAZORLA AJIANDAA KUSEPA "KIMYAKIMYA" ARSENAL

SANTI Cazorla anajiandaa kuondoka bure Arsenal baada ya kiungo huyo, 31, kubainisha kwamba mkataba wake kumamalizika mwishoni mwa msimu huu na klabu hiyo haijawasiliana naye kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba mpya.


No comments