SANTI CAZORLA ASEMA ANAVYODHANI WENGER BADO YUPOYUPO SANA TU ARSENAL

KOCHA Arsene Wenger haonyeshi dalili yayote kwamba ataondoka Arsenal licha ya mkataba wake kuwa utamalizika mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa kiungo Santi Cazorla.

No comments