SARE DHIDI YA MANCHESTER UNITED BADO YAMCHONYOTA NAHODHA WA LIVERPOOL

NAHODHA wa Liverpool, Jordan Henderson amesema amefadhaishwa na sare dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Manchester United ambao walidhamiria kupaki basi, lakini amesema hata wao Liver hawakutegemea nafasi za kutosha kushinda.

No comments