SARE ZA REAL MADRID ZAMZINDUA ZIDANE... awaza kufanya mabadiliko ya mandalizi katika mechi zao

KUFUATIA sare nne mfululizo kabla ya mechi yao ya jana, kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema anahitaji kufanyia mabadiliko mandalizi ya mechi zao.

No comments