Habari

SHAMSA FORD AWAPA SOMO WASANII WENZAKE… awaambia nidhamu ndio silaha kubwa ya kufikia mafanikio wanayoyataka

on

MSANII wa Bongomuvi, Shamsa
Ford amewakumbusha wasanii wenzake kuwa nidhamu ni silaha kubwa katika maisha,
hivyo wazingatie hilo ili waweze kufikia mafanikio wanayoyataka.
“Kuna ambao Mungu aliwabariki
kwa nafasi zao, lakini hawakuweza kutumia nafasi zao hizo vizuri kwa sababu ya
kukosa nidhamu, walihisi wao ni bora kuliko wengine mwishowe wakakwama,”
alisema.
Baada ya kukwama, hamsa Ford
alisema, walianza kulaumu wenzao na hata kujiingiza kwenye ushirikina kwa
kudhani wamerogwa kumbe mchawi wa maisha yao ni wao wenyewe.

“Hapa cha msingi ni nidhamu,
kumuweka Mungu mbele, kuwa mvumilivu, kuacha tama kwa kufanya kazi kwa bidii,
kupenda kujifunza na kukubali ushauri,” alisema.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *