SOFIANE BOUFAL AKUMBWA NA MAJERUHI KABLA KUANZA KUITUMIKIA SOUTHAMPTON

MCHEZAJI ghali zaidi wa klabu ya Southampton, Sofiane Boufal raia wa Morocco amekumbwa na mikosi baada ya kuumia kabla ya kuanza kuitumikia klabu yake hiyo.


Boufal aliyesajiliwa kwa mil 16, atalazimika kusubiri kwa zaidi ya mwezi kuanza kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Claude Puel.

No comments