TIMOTHY FOSU-MENSAH AKUBALI KUENDELEA KUKIPIGA MANCHESTER UNITED

KLABU ya Manchester United imekamilisha mpango wake wa kuendelea kunufaika na huduma ya kinda Timothy Fosu-Mensah.


Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, amekubali kuendelea kukipiga klabuni hapo na mkataba wake wa sasa unatajwa kuwa na thamani ya pauni mil 5.2.

No comments