TIMU 48 SASA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA MWAKA 2018

RAIS wa shirika ra soka la kimataifa Fifa Gianni Infantino ameshauri kuongeza wa timu zinazoshiriki Kombe la Dunia na kufikia 48 dhaidi ya ahadi yake aliyoitoa wakati akiwamnia nafasi hiyo kuwa atafikisha timu 40.

Anashauri kuwa timu 16 kati ya zote zilitolewa katika hatua ya awali kabisa.

Kisha kubaki 32 zitakazoendelea katika makundi baada ya hatua ya mtoano kukamilika.

Ifantino amesema kuwa mapendekezo hayo yatapelekwa katika bodi ya FIFA Januari.


“Haya ni mawazo ya kupata suluhisho la uhakika. Tutayajadili mwezi huu na kufahamu nini cha kufanya mwaka 2017,” alisema Infontino mwenye miaka46.

No comments