Habari

TOTTENHAM KUWEKA REKODI MPYA YA USAJILI KWA ISCO WA REAL MADRID

on

Isco played 71 minutes in Real Madrid's 1-1 draw with Eibar in their last La Liga fixture
TOTTENHAM HOTSPURS inatajwa kuwa tayari kuvunja rekodi yao ya manunuzi
kwa kutoa kitita cha paundi milioni 40 ili kumsajili Isco kutoka Real Madrid
Januari mwakani.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 amekuwa akihangaika kupata nafasi
katika kikosi cha Zinedine Zidane, akianza katika mechi mbili pekee msimu huu
na alikuwa akihusishwa na tetesi za kwenda Spurs kipindi cha kiangazi.
Isco aliyenunuliwa na Madrid kutoka Malaga miaka mitatu iliyopita
tayari ameeleza nia yake ya kuondoka kama atakosa nafasi katika kikosi cha
kwanza.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *