Habari

VICTOR MOSES HANA HAMU NA MOURINHO, ASEMA HAJAWAHI KUMSEMESHA HATA MARA MOJA …afurahia maisha chini ya Antonio Conte

on

young lads. 
Moses played as a wing back against Leicester last week and scored the final goal in a 3-0 win


WINGA wa Chelsea Victor Moses amedhidhirisha furaha yake kucheza chini ya Antonio Conte na kusema kocha wa zamani wa klabu hiyo Jose Mourinho hajawahi kumsemesha hata mara moja.
Mourinho anarejea Stamford Bridge – sehemu aliyoshinda mataji matatu ya Premier League – lakini safari hii akiwa kama kocha wa Manchester United na anategemewa kupata mapokezi mazuri kutoka wachezaji na mashabiki wake wa zamani.
Hata hivyo hakutakuwa na mapenzi kutoka kwa Moses nyota wa kimataifa wa Nigeria ambaye hakupewa nafasi kabisa na Mourinho na kuishia kupelekwa Liverpool kwa mkopo mwaka 2013. 
Moses ameiambia ESPN: “Hakuwahi kuongea na mimi uso kwa uso hata mara moja. Nadhani tayari alikuwa na wachezaji wake.”.
“Nadhani tumewahi kuwasiliana mara chache kwa kupitia njia ya simu – akiniuliza kama niko poa Liverpool, si zaidi ya hivyo.”
Victor Moses is now happy at Chelsea, but did not enjoy life under Jose Mourinho

Victor Moses sasa yuko na furaha Chelsea tofauti na ilivyokuwa chini ya Jose Mourinho
Moses (left) was sent out on loan by Mourinho in three successive seasons from 2013 to 2016

Moses (kushoto) alimpeleka Moses Liverpool kwa mkopo

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *