WENGER AFUNGUKA NA KUSEMA "LAZIMA TUVUNJE BENKI KUMTIA KITANZI OZIL"

KOCHA Arsene Wenger amekiri akisema kuwa Arsenal italazimika kuvunja benki ili kimbakiza nyota wake Mesuti Ozil.


Hii ni mara ya kwanza kwa Wenger kuelezea wasiwasi wake kuhusu vita ya Arsenal kumpa Ozil mkataba mpya ambapo wa sasa ambao analipwa pauni mil 140,000 kwa wiki unamalizika mwaka 2018.

No comments