Habari

WEST HAM YAIFANYIA KITU MBAYA CHELSEA KOMBE LA EFL

on

The 20-year-old Swiss midfielder celebrating with his team-mates from West Ham after the second goal

WEST HAM wameibuka wababe katika mechi ya watani wa jadi wa London dhidi Chelsea na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya EFL Cup.
Chelsea iliyofanya mabadiliko saba kutoka kwenye kikosi kilichoifumua Manchester United 4-0, ikajikuta inaadhibiwa 2-1 kwa magoli ya Cheikhou Kouyate na Edimilson Fernandes katika dakika ya 11 na 48.
Gary Cahill akaifungia aliifungia Chelsea bao la kufutia machozi dakika ya 90
WEST HAM (3-4-3): Randolph 7; Kouyate 7, Reid 7, Ogbonna 6.5; Fernandes 6.5 (Feghouli 67, 6), Noble 7.5, Obiang 6.5, Cresswell 6.5; Lanzini 6 (Ayew 78), Antonio 7 (Zaza 82), Payet 7.
CHELSEA (3-4-3): Begovic 6; Luiz 6, Terry 5, Cahill 6; Azpilicueta 6, Chalobah 6 (Hazard 6.5), Kante 6.5, Aina 6 (Pedro 67, 6); Willian 6.5, Batshuayi 5 (Costa 55, 6.5), Oscar 6.
Cheikhou Kouyata runs off to celebrate after opening the scoring in Wednesday's night's League Cup contest

Cheikhou Kouyata akishangilia bao lake

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *