Habari

WESTHAM UNITED KUMSAJILI JUMLA SIMONE ZAZA WA JUVENTUS

on

IMERIPOTIWA kuwa Westham United
wanaruhusiwa kumsajili Simone Zaza ikiwa ataichezea klabu hiyo kwa mechi 10.
Zaza alitua kwa mkopo Westham akitokea serie A alikokuwa akikipiga katika klabu
ya Juventus.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *