WILSHERE: NILIPASWA KUSEPA ARSENEL BAADA YA KUTOSWA TIMU YA TAIFA ENGLAND


KIUNGO Jack Wilshere amesema alibaini kwamba anapaswa kuondoka Arsenal japo kwa mkopo baada ya kutoswa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England. Hivi sasa anachezea Bournemouth kwa mkopo.

No comments