WINGA FILIPE ANDERSON WA LAZIO AWINDWA NA CHELSEA

MATAJIRI wa London, Chelsea wametajwa kumfuatilia kwa karibu winga wa Lazio, Felipe Anderson.


Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 23 alikuwa akifukuziwa na Manchester United mwaka ulioita.

No comments