XAVI ADAI MBINU ZA GUARDIOLA ZINAWEZA KUBADILI SOKA LA ENGLAND

KIUNGO wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez amedai kuwa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaweza kulibadili soka la England kutokana na mawazo na mbinu zake.

No comments