XAVI SASA AMTABIRIA RONALDO KUTWAA TUZO YA BALLON D'OR MWAKA HUU

KIUNGO wa zamani wa Barcelona, xavi ambaye mwezi uliopita alimkasirisha Cristiano Ronaldo kwa kusema ana bahati mbaya kuzaliwa zama za Lionel Messi, amesema Mreno huyo atashinda Ballon d’Or mwaka huu.

No comments