SIO tetesi tena kuhusu kuwepo kwa bendi mpya ya “Yah TMK Modern Taarab” inayomilikiwa na Taasisi ya Mkubwa na Wanawe chini ya bosi wao, Said Fella, bali sasa ni rasmi.

Baadhi ya masupastaa wa taarab Bongo, wakiwemo wanamuziki waliojiengua kutoka Jahazi Modern Taarab, kesho wanatarajiwa kuingia Studio kurekodi vibao viwili vipya vya waimbaji Mwanahawa Ali na Aisha Vuvuzela.


Ukiacha Mwanahawa Ali na Vuvuzela, wakali wengine wanaounda bendi hiyo mpya ni Mussa Mipango, Father Mauji, Rashid Yussuf, Babu Ally, Fatma Mcharuko, Omar Teggo na Maua Teggo.

SHUHUDIA PICHA 7 ZA WASANII WA YAH TMK MODERN TAARAB
 Mwimbaji mkongwe Mwanahawa ali akiwa mazoezini
 Mohammed Mauji
 Hii ndio nembo ya bendi ya Yah TMK Modern Taarab
 Aisha Vuvuzela (kushoto), akiwa na Meneja wa Yah TMK, Muddy K
 Mussa Mipango
 Babu Ally
Na hawa ni badhi ya wasanii wote wa Yah TMK Modern Taarab katika picha ya pamoja na mtangazaji sakina Lyoka wa Clouds Tv
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac