YOSSO KARAMOKO KADER DEMBELE WA CELTIC AFANANISHWA NA LIONEL MESSI

CELTIC imemchezesha yosso wao, Karamoko Kader Dembele, 13, mwenye kipaji cha hali ya juu kinachofananishwa na Messi, katika mechi ya wakubwa zaidi yake ya U-20 na kuacha gumzo kutokana na uwezo wake.

No comments