Habari

ZLATAN IBRAHIMOVIC AMTANIA WAKALA WA POGBA “NITAKUVUNJA MGUU UKIMRUHUSU MCHEZAJI WAKO KUONDOKA MAN UNITED”

on

MSHAMBULIAJi mpya wa Manchester
United, Zlatan Ibrahimovic amemfanyia mzaha wakala Mino Raiola wa kiungo Paul Pogba
kwamba atamvunja mguu iwapo atamruhusu mchezaji huyo kujiunga na klabu
nyingine.
Ibrahimovic amesema Pogba ni
mchezaji muhimu kwa Manchester United na ataanza kuonyesha vitu vyake hivi
karibuni. Pogba hivi karibuni aliifungia Manchestrer
United bao moja kati ya manne ilipowapiga mweleka wa mabao 4-1 Leicester City.  

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *