AISHA BUI AKEMEA "KIKI" KWA WASANII WA BONGOMUVI... asema zinachangia kudhalilisha fani hiyo

AISHA Bui wa Bongomuvi ambaye amerudi kwenye gemu akiwa na filamu iitwayo "Mungu Nisitiri" amekemea kiki zinazofanywa na baadhi ya wasanii na kusema kuwa zinachangia kudhalilisha tasnia hiyo.

“Kiki hazisaidii kabisa kwani ukitaka kujua hizi kiki hazina faida jaribu kuuliza mashabiki hilo nilishaliona sikyu nyingi msanii huwezi kupanda chati kwa skendo bali ni kutegemea ubora wa filamu anazoandaa,” alisema Aisha.


Msanii huyo alisema kuwa kama fashini kuonav wasanii wakitumia kiki za skendo wakitarajia kwamba zita wanyanyua na nkumbe zinazalilisha trasnia zaokwa ujumla.

No comments