ANDER HERRERA ASEMA MATOKEO YA SARE OLD TRAFFORD HAYAWATENDEI HAKI KUTOKANA NA KIWANGO WANACHOKIONYESHA

KIUNGO Ander Herrera amesema mwendo mbaya wa matokeo ya sare nne mfululizo kwenye uwanja wa Old Trafford ambao ni rekodi iliyowekwa mara ya mwisho mwaka 1980, hauwatendei haki kutokana na kiwango kikubwa ambacho wanaonyesha lakini hawapati ushindi.

No comments