ANTHONY MARTIAL AFUNGUKA NA KUASEMA ALIUMIA ALIPONYANG’ANYWA JEZI NAMBA 9 NA IBRAHIMOVIC

KUMBE chanzo ni jezi namba 9? Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial amedai aliumizwa aliponyang’anywa jezi namba 9 ambayo sasa inatumiwa na mshambuliaji mpya wa Old Trafford, Zlatn Ibrahimovic.

No comments