ANTONIO CONTE AKIRI MECHI YAO DHIDI YA MANCHESTER CITY NI MTIHANI MZITO KWAO

KOCHA wa Chelsea Antonio Conte anaamini mechi ya Manchester City ni mtihani mzito sana kwao katika vita yao ya kuwania kutwaa ubingwa wa England.

Chelsea inaivaa Manchester City Jumamosi hii kwenye mechi ambayo inakutanisha timu ambazo zinafukuzana katika kuwania ubingwa.


“Huu ni mtihani mzito kwetu, unajua Manchester City ni timu nzuri itakuwa ngona nzito,” alisema Conte ambaye timu yake hivi sasa inaongoza Ligi Kuu England.

No comments