KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger anapanga kumpumzisha nyota wake Alexis Sanchez ili apunguze uchovu.

Sanchez ndiye mchezaji ambaye amecheza mechi nyingi katika kikosi cha arsenal msimu huu.

Wenger anataka mchezaji huyo apumzike ili ajiweke vizuri katika kampeni ya timu hiyo kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu msimu huu.


Arsenal ilishikwa na kiwewe baada ya kuwepo kwa taarifa za Sanchez kuumia wakati akiwa katika timu ya taifa ya Chile.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac