ARSENE WENGER KUMSAJILI KIUNGO LEANDRO PAREDES WA ARGENTINA DIRISHA LA JANUARI

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger anaangalia uwezekano wa kulitumia vizuri dirisha la usajili la Januari kwa kumsajili kiungo wa Argentina Leandro Paredes.


Kwa sasa Paredes mwenye umri wa miaka 22, anakipiga katika klabu ya Roma na amekuwa na msaada mkubwa kwenye kikosi hicho tangu kuanza kwa msimu huu.

No comments