BALOTELLI ANUKIA TENA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA ITALIA

MSHAMBULIAJI wa Nice ya Ufaransa, Mario Balotelli huenda akaitwa kucheza kikosi cha timu ya taifa ya Italia baada ya kocha Giampiero Ventura kuridhika na kiwango chake, hivyo kuwa tayari kuziungumza.


Balotelli amecheza kikosi cha Italia mechi 33 na mara ya mwisho aliitwa kuvaa jezi miaka miwili iliyopita.

No comments